Karibu katika Duka la EcoFlame! Gundua mustakabali wa nishati ya kupikia kupitia mifumo yetu ya hidrojeni inayobebeka na vifurushi rahisi vya nyongeza (refills). Tunajivunia kuipatia Mbeya na Tanzania suluhisho la nishati lililo safi, la bei nafuu, na salama.
(Bonyeza picha ya kielelezo ili kuitazama vizuri zaidi.)

------------Atlas E1-----------Model Nzuri kwa matumizi ya ndani ( Nyumbani au maeneo ya kiofisi )

-----------Atlas E2-----------Model nzuri kwa matumizi ya Ndani na Nje kwa mahitaji makubwa na madogo.

----------Atlas E3---------Model nzuri kwa matumizi makubwa ya nje kama sherehe nk.

Vifurushi vya Nyongeza

----------Jiko-----------kawaida unakuja na jiko lenye sahani mbili (2-plate), lakini tunatoa marekebisho maalum kulingana na mahitaji na matakwa yako.